10:32
0
Baada ya kutolewa video yake ya Nimevurugwa kwenye tuzo za KTMA  2013/2014,  Snura amefunguka  kuhusu  kile ambacho kilionekana kusababisha video yake kufungiwa na kutolewa kwenye mashindao ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards  kwa  kudai  kuwa  kiuno  chake  ndo  tatizo  hivyo  katika  video  yake  mpya  hakutakuwa  na  mauno  ya  mitego!:

0 comments:

Chapisha Maoni

rightcolbanner