10:30
0


Nimepatikana mwenzenu, nimekutana na kijana hana adabu hata kidogo, amechukua moyo wangu mzima mzima. Kijana anasura mbaya yani hana hata mvuto ila uwanjani usipime, mambo anayo ni fanyia naogopa hata kusimulia ila kiufupi ni kwamba anaweza ndio mana niko nae. Mhhh Hatari....!!

0 comments:

Chapisha Maoni

rightcolbanner