
Admin pamoja na wana bongonewz wote naomba ushuri wa dhati kutoka kwenu kiufupi iko hivi,nimepata kazi katika ofice fulani hapa dar na ni muda wa miezi 6 tu toka nianze kazi hiyo..kwa kweli namshukuru mungu inanilipa vizuri sasa kama unavyojuwa hapa mjini mambo ni mengi hadi kufikia muda wa kurudi nyumbani ni usiku sana kiasi kwamba dada yangu alipokuja kunitembelea wiki moja iliyo pita alinihurumia akaniletea huyu binti ila namtamani miye nipeni ushauri wadau!!
0 comments:
Chapisha Maoni