Baby Madaha akiwa anatoa vifaa vya kujiremba kwenye mfuko.
MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha jana alinaswa na kamera zetu akijipodoa bila kuogopa wala kujali watu waliokuwa eneo hilo.
Madaha alinnnaswa maeneo ya Sinza jijini Dar alipokuwa akirekodi video ya wimbo wake wa Nawaponda aliomuimba msanii mwenzake aliyewahi kuwa na bifu naye.
- See more at: http://mdadisihuru.blogspot.com/2014/05/baby-madaha-anaswa-akiduu-na-meneja-wake.html#sthash.vAu1eeZ4.dpuf
0 comments:
Chapisha Maoni