10:25
0

Hatimaye Samweli Ameukwaa Uspika na Uwenyekiti wa Bunge la katiba leo hii jioni kwa kwa kupata kura nyingi ....Mie Binafsi nimefurahi nahuhakika na Mzee huyo ...Kwani aliongoza Bunge Vizuri sana Enzi zake

0 comments:

Chapisha Maoni

rightcolbanner