12:16
0
 
 U heard ya XXL Clouds FM alizipata stori kutoka kwa shuhuda kwamba juzi  March 13 2014 kulitokea ugomvi studio baada ya Ommy Dimpoz kupost picha akiwa studio na Diamond na mwimbaji Mkenya Victoria Kimani ambae amewahi kuingia kwenye kashifa  kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Diamond.

Shuhuda anasema tatizo lilikuja baada ya video hiyo kusambaa na kumbe Diamond hakumuaga mpenzi wake Wema kwamba angekua studio na Victoria, hapo ndio Wema anadaiwa kwenda na kufanya fujo studio.

Bonyeza play hapa chini upate kisa kizima

Credit: Millard Ayo

0 comments:

Chapisha Maoni

rightcolbanner