07:42
0
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya ambaye huwa anaishi na kufanya Kazi nchini Uingereza Naj amefunguka kuwa Tangu aachane Mr Blue zaidi ya Mwaka mmoja na miezi kadhaa iliyopita hajawahi kukutana na Mwanaume na wala hajawahi kumpenda mwanaume yeyote, Naj amefunguka hivi karibuni kabla hajaelekea U.K akaendelea kunitiririkia kuwa alikua na Mr Blue kwa miaka mitano na ikaishia kwa yeye kukimbiwa na Blue akamkana hadharani na kuanzisha mahusiano na mwanadada mwingine hali iliyomhuzunisha na kujutia muda wake, Naj akamalizia kwa kuniuliza Je angeutumia muda huo kwa kupiga kazi si angekua mbali sana? kwa hiyo sasa hivi anacho angalia ni kazi tu kwa kwenda mbele, yuko singoooooooooooooo

CREDIT:UDAKU SPECIALLY

0 comments:

Chapisha Maoni

rightcolbanner