12:49
0
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEigsFVIQhboh-NAEks-mHEB6nXV56WY3K7hVXSyIeF_Kd4T3rUAOrFWhOlp0f8M399u6e8kV-rPIB8AFONwSXTpqLaCiyz9Cf2tpfgyiLkg7fitkOU1tOwYLTxm1rY11UCQekozXalQV_tG/s1600/NAZIZI.jpg
Kwa muda mrefu watu wamekuwa na mashaka na ukweli kuhusu maisha ya mapenzi ya muimbaji wa Kenya, Nazizi. Hiyo ni kutokana na muonekano wake licha ya kuwa msichana mrembo.
Pamoja na kuolewa na kupata mtoto (kwa sasa ameachana na mumewe) wasiwasi huo haujatoka kichwani mwa watu. Kituo cha Ghetto Radio cha Kenya kimedai kumtafuta na kumuuliza suala hilo.
“I am straight; I really don’t under standard why people think otherwise, I got married and have a son,” alijibu.

Source: Ghetto Radio

0 comments:

Chapisha Maoni

rightcolbanner