Hapa ilikuwa ni pata shika ambapo dada huyo amewekwa kati huku vijana wa eneo hilo wakiwa wanapiga kelele huku wakimvua nguo na kumfanyia vitendo visivyo vya kibinadamu
Anaeonekana kwa mbali ni mdada ambaye alijitolea kwenda kumsaidia dada huyo ambae alikuwa amevaa kanguo kafupi ka nusu utupu akikatiza maeneo kituo cha basi cha mwenge usiku huu
Hapa akiwa amevuliwa nguo na baadhi ya kina mama kumsaidia na kumwingiza katika gari moja wapo ili kumsitili
Umati wa watu ukiwa umeongezeka na kuzingira basi hilo la abiria na kudai ashushwe ili waweze kumchapa na viboko kwa kitendo cha kuwadhalilisha akina dada wengine NB-Hatukuweza kuweka picha za binti huyo akiwa mtupu kulingana na maadili.
CREDIT:NYOTA NJEMA
0 comments:
Chapisha Maoni