
Jamani msione magari mengine yanakuwa na tintedi huko ndani ni hatari tupu, mambo kama haya ni kawaidi kwenye magari ya tintedi , unakuta mtu kakaa kama anataka kujisaidia kavaa nguo kama hajavaa vile yani ni shida , sasa kwamfano umekutana na baba mkwe njiani inabidi umpe lift itakuaje mana hapo hata kanga labda huna utamuweka wapi..?? au umempa kijana lift hapo, si unajua tena vijana wa siku hizi hatari..!! Hatari..!!
0 comments:
Chapisha Maoni