14:16
0

Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo wa kufanya Mapenzi kinyume na maumbile ni kama ifuatavyo:-  

Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo. 

Pili: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa. 

Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland).  

Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo. 
 Tano: Kuharisha.  Sita: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi).  
Sita: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.

0 comments:

Chapisha Maoni

rightcolbanner