11:33
0

Baada ya mashabiki kumjia juu Mwanadada Lulu Michael juu ya ku copy na ku paste pozi la mwanamuziki Rihanna, naye Lulu hakuwa nyuma aliamua kujibu mashambulizi hayo.

Nanukuu "Doh naona imekuwa TOPIC ila sishangai Nina hiyo damu ya kufanya kitu na kikawa gumzoooo...!nadhani kitu kimoja watu hamuelewi Ku Copy na Ku Paste huko mnakosema nyinyi cdhani Kama mnakuelewa...!hapa kilichofanana ni idea only not otherwise...!n ofcoz dunia tunayoishi hakuna kitu kipya ni vitu vile vile ila vinafanyika kwa namna ya tofauti....majadiliano hayakuwa mabaya coz ndo inamaanisha habari imefika vilivyo....nimejaribu kuiweka clear mana watu mpk vidole vinakaribia kupata sugu kwa kuandika comment hehehe...!tuachane na hayo ila dada @badgalriri dah nimekukimbiza kwa mbali heheheh.... @badgalriri @badgalriri @badgalriri @badgalriri@badgalriri @badgalriri ��������nione basi������....haya namalizia Kama bdo hutaki kukubaliana na maelezo yangu njia hii apa������������������������������������������������������������������Haina mafuriko,madimbwi wala foleni....kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!��Nawapenda lkn��"mwisho wa kunukuu
Credit: Swahilitz.info

0 comments:

Chapisha Maoni

rightcolbanner