08:12
0

Ukiwa ndani ya Hekalu Jumba la Ngvu la Msanii ally Kiba



Akimalizia kuweka sawa maeneo ya master bedroom.



Hili ni eneo la Nje la Hekalu la Msanii Ally Kiba

Msanii Wa Bongo Fleva hii leo Kupitia Ukurasa wake wa FB ameamua kuweka hizi Picha zenye mwonekano wa Hekalu(mjengo wa Nguvu) anaoumalizia kuufanyia-renovation


0 comments:

Chapisha Maoni

rightcolbanner