
maana wasanii wamekuwa wakionesha nyumba wanazojenga, magali waliyonunua ikiwemo hata simu kali wanazomiliki. Leo katika pita pita yetu mtandaoni tulibahatika kukutana na picha ya gari aliloweka Video Vixen Agness Gerald wengi wao wanamfahamu Agness Masogange. Katika picha hiyo Masogange hakuandika chochote zaidi ya alama ya kopa, ndipo wadau wakafunguka na kusema kuwa Ni gari yake mpyaa aliyomenya hivi karibuni. Tazama picha za gari hiyo hapa chini na kama ni yake basi ni hatua nzuri kwake, ndiyo watu maarufu wanavyoishi bongo, NYUMBA ZA KUPANGA, MAGARI YENYE THAMANI YA KIWANJA.

0 comments:
Chapisha Maoni