Udaku Specially Blog
WADADA WAZICHAPA KAVU KAVU BARABARANI WAKIGOMBEA BWANA
Wadada wawili Warembo wa Mitaa ya kawe waliamua kuzichapa kavu kavu bila maglovsi mbele za watu kwa eti mmoja akimtuhumu mwenzie kuwa anatoka na Boyfriend wake...Inasemekana hawa madada ni marafiki sana lakini leo yamewashinda baada ya kuchangia bwana mmoja ...
Udaku Specially Blog
Udaku Specially Blog
0 comments:
Chapisha Maoni