08:22
0


Mwana FA ni miongoni mwa wasanii 13 wa Hip Hop nchini Tanzania walioshiriki kwenye wimbo Haki, uliorekodiwa kwenye studio za Bongo Records, kushinikiza sanaa kutambuliwa kwenye katiba mpya ya Tanzania.
 Wasanii wengine walioshiriki kwenye wimbo huo uliotayarishwa na P-Funk Majani ni pamoja na Quick Rocker, Mchizi Mox, Godzilla, Kala Jeremiah, G-Nako na Nikki wa Pili, Fid Q, Joh Makini, Gosby, Profesa Jay, Danny Msimamo na Kalapina. January Makamba na Joseph Mbilinyi aka Sugu nao wamesikika.

0 comments:

Chapisha Maoni

rightcolbanner