01:16
0
Habari zenu . Poleni na uchovu wa kazi. Mimi ni mdada nimezoea sana huu mchezo wa punyeto kwa sababu sipendi kuwa kwenye mahusiano sababu yameniumiza sana.Nikaamua kujiridhisha mwenyewe. Naomba ushauri nifanyeje niweze kuacha huu mchezo wa punyeto. Ushauri wako mhimu nitaufanyia kazi.

0 comments:

Chapisha Maoni

rightcolbanner