
Kuna kitu huwa najiuliza sipati majibu ya kuridhisha,Hivi kama una mchumba unaetarajia kumuoa/kuoana unaweza kumpiga picha za uchi?au video za uchi? Mdada kama Mchumba wako anakupiga picha za uchi unajisikiaje ?
Nani sasaivi ameoa/ameolewa na alimpiga mke wake picha za uchi enzi ya uchumba?
Karibu tujadili......
0 comments:
Chapisha Maoni