DUH..HAKIKA POMBE SIO CHAI...NJEMBA YAFANYA VITUKO HADHARANI BAADA YA KILAJI KUMZIDIA. 07:02 0 Jamaa atoa kali na kuwaacha watu midomo wazi kwa makeke yake..! Du! hadi Dada aliona aibu maana hakutegemea tukio hilo..! Ama kweli pombe sio chai. Kila kitu kinahitaji uzoefu, Chupa mbili tu Jamaa amechangamka kama ameogea ndimu..!
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.