AGNESS MASOGANGE AWAPAGAWISHA WAKAZI WA DODOMA KWA MAUNO YAKE-DOLA ZAMWAGWA 02:32 0 Agness masogange alikuwa kivutio kikubwa pale walipokuwa wakicheza kwenye uzinduzi wa Pub Moja huko Mjini Dodoma..Mapendeshee wa huko walimwaga dola kama njugu kufurahia alichokuwa anafanya Agness Jukwaani kwa kukata Mauno..
0 comments:
Chapisha Maoni