00:40
0
Hii ni tahadhari kwa  wanadada wote,  msiruhusu hata siku moja wewe na mpenzi  wako mjirekodi wakatimki- do…Hii imeshawatokea wengi... mara baadaya kuachana wanaume wamekuwa na tabia zaku sambaza video clips za wapenzi wao…  

Back to the topic. Hii mimemtokea  Pokello Nare aliekuwa mshirika wa BBA kutoka zimbambwe, Mara baada ya kuingia kwenye Jumba la BBA mpenzi wake aliejulikana kwa jina la Desmond Chideme aliachia mtandaoni Video clip ikiwaonyesha wawili hao wakiwa wanafanya mapenzi…

0 comments:

Chapisha Maoni

rightcolbanner