Kupitia mitandao yao ya kijamii watu mbalimbali wameonyesha hisia zao kwa kumuunga mkono Dani Alves kupinga ubaguzi wa rangi duniani.

Zitto Kabwe akila ndizi

Watanzania wakisambaza ujumbe kwa ndizi

Watanzania wakiungana na wanasoka kupambana na ubaguzi wa rangi kwa kula ndizi

I wanna be a monkey too…. #proud2bBlack

.jpg)
0 comments:
Chapisha Maoni