sasa nashangaa majibu yametoka eto mtoto ni wa kwangu kwa asilimia zote,,kwakweli nimepata maswali mengi kama ni kweli vipimo hivi ni sahihi ama lah...vilevile watu wengi wameniambia eti siku hizi jamaa hawa huwa wanadanganya na kukupa majibu ya uongo kuonyesha mtoto ni wa kwako hata kama si kweli ili kupunguza watoto wa mitaani sasa niko njia panda jamani nifanyaje katika hili? naomba mwenye uzoefu na hawa jamaa atueleze ukweli katika hili tafadhali
VIPIMO VYA DNA VINAONESHA MTOTO WA KIARABU NI WANGU WAKATI WAZAZI WOTE WASWAHILI
Nimepatwa na mshtuko baada ya kupata majibu ya DNA yakionyesha mtoto niliekuwa na wasiwasi nae kwamba nimebambikiwa ni wakwangu tena kwa asilimia 99.99%.....ilikuwa hivi, mimi ni mtanzania kabila mpare na nimeoa mwanamke wa kirangi tuliejaaliwa kupata watoto wanne, wakiume watatu na wakike mmoja....chakushangaza mtoto wetu wanne alitoka na nywele za kiarabu na ukimuangalia huulizi sababu ni mwarabu kabisa,,,nilichofanya ni kumchukua kisirisiri bila mama yake kujua na kwenda kumpima DNA nikitarajia majibu yakionyesha si wangu nianze sasa movement au step forward...
sasa nashangaa majibu yametoka eto mtoto ni wa kwangu kwa asilimia zote,,kwakweli nimepata maswali mengi kama ni kweli vipimo hivi ni sahihi ama lah...vilevile watu wengi wameniambia eti siku hizi jamaa hawa huwa wanadanganya na kukupa majibu ya uongo kuonyesha mtoto ni wa kwako hata kama si kweli ili kupunguza watoto wa mitaani sasa niko njia panda jamani nifanyaje katika hili? naomba mwenye uzoefu na hawa jamaa atueleze ukweli katika hili tafadhali
sasa nashangaa majibu yametoka eto mtoto ni wa kwangu kwa asilimia zote,,kwakweli nimepata maswali mengi kama ni kweli vipimo hivi ni sahihi ama lah...vilevile watu wengi wameniambia eti siku hizi jamaa hawa huwa wanadanganya na kukupa majibu ya uongo kuonyesha mtoto ni wa kwako hata kama si kweli ili kupunguza watoto wa mitaani sasa niko njia panda jamani nifanyaje katika hili? naomba mwenye uzoefu na hawa jamaa atueleze ukweli katika hili tafadhali
0 comments:
Chapisha Maoni