VIJANA WAKIANDA NYAMA YA MBWA ILI KUICHOMA NA KUIUZA MISHAKIKI ILE YA FASTER FASTER KWENYE VITUO VYA MABASI 04:06 0 Jamani Wadau Embu kuweni makini na Mishikaki ya Huko barabarani hasa vituo vya Stand ..Huwa vijana inasemekana walikuwa wakimchuna mbwa kwa ajili ya kuandaa mishikaki ya kuuza huko barabarani.....Duuh Mitamu hiyo ...lolCREDIT:UDAKU SPECIALLY
0 comments:
Chapisha Maoni