Imekua tabia siku hizi yani kabla hatujaanza kufanya lolte lazima avute bangi kwanza , napia anipe na mimi nivute, huwa nafanya tu hivyo kwa sababu nampenda ila sasa imekuwa too much, mpaka inanitesa siku nyingine siwezi hata kuamka kichwa kinauma kutwa nzima. Naombeni ushauri.. wadau
0 comments:
Chapisha Maoni